Nani huamua kiasi cha pesa kwenye mzunguko!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Watu wengi tumekuwa tukijiiuliza maswali kama haya ; kwanini serikali isitengeneze hela nyingi ili pesa ionekane mtaani!?

Je, ni lazima wapewe kibali na world Bank!? Kama ndio, ni vigezo gani hutumika kutoa kibali hicho!? Na kama sio lazima, kwanini serikali isiprint kuondoa tatizo la uhaba!?
 
Back
Top Bottom