Nani hasa mmiliki wa mwanaume?

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Mama yake au Mkewe?Fuatilia mabishano haya:
MAMA:Mwanangu lazima aniheshimu mimi.Alinyonya maziwa yangu kwa miaka takribani miwili.
MKEWE:Mimi ni zaidi ya miaka mitano sasa ananyonya maziwa yangu na bado anaendelea kunyonya.
MAMA:Nilimbeba tumboni kwa miezi tisa.
MKEWE:Kipindi hicho alikuwa na kilo 3.5 tu,lakini mimi nambeba kila usiku angali na uzito wa kilo 85 sasa.
MAMA:Alipita katikati ya mapaja yangu.
MKEWE:Ha ha ha ha..!Wewe alipita mara moja tu,vipi kwangu mimi?Anakuwepo kwenye mapaja yangu kila siku.
Wandugu nani hasa mmiliki?Ashakumu si matusi..!
 
Hana adabu tuu huyo Mke...mama mzazi ana haki yake na mke pia ana sehemu yake..
 
Mwanamme amilikiwe kwani utumwa haujapigwa marufuku?

Unamiliki mali, si mtu.
 
Oya nadhani hii ungepeleka FB, Hapa hapaendani na utumbo wa aina hii. kdogo nikupuuze ila nikaona nikusaidie kukuelekeza pahala stahili.
Hatuna maadili ya mke kumjibu mama mkwe wake hayo hapa Afrika.
 
Ukweli utabaki pale pale mama ni mama na mke ni mke.

Mama anaheshimika kuliko baba na baba ana heshimika kuliko mke.

Wazazi wangu kwanza afu ndo mke.

wazazi wangu wakisema hatumtaki mke wako uishi naye, inabidi nimuombe mke wangu samahani tu, mana siwezi kuishi na mke ambaye wazazi wangu hawako radhi naye.

Ujumbe ndo huo.
 
Yaani eti mimi Ngabu nimilikiwe?

Mnacheza kweli nyie.

Hivi abolition of slavery ilikuwa lini vile?
 
Mie nina mke znz, kama wa kujua ni mie.
sio kosa lako watu wengi hawajui..sheria..ignorance of the law is no defence...refer family decree ya huko kama cjakosea
 
sio kosa lako watu wengi hawajui..sheria..ignorance of the law is no defence...refer family decree ya huko kama cjakosea

Wewe unaye argue for ndio uilete hapa uonyeshe ignorance yangu.

Ama sivyo utaonyesha ignorance yako, kwamba kati ya anaye argue for and against, the onus of proof is on which side.

Tuonyeshe basi hiyo sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…