Nani hafai kuwa mume au mke?

Nani hafai kuwa mume au mke?

Godzzo

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
11
Reaction score
2
Naomba wale wazoefu wa masuala ya mapenzi wanisaidie kwa hili,

Sifa zipi zimekuwa za msingi kwa mwanamke au mwanaume anayeingia maisha ya ndoa?

1. Mimi najua moja tu upendo wa kweli zingine naomba mnitajie.

2. .............,..................
 
Mwanaume awe na uwezo wa kifedha wa kuihudumia familia anayoianzisha.
 
Jibu ni rahisi sana kulingana na heading yako, simply ' mwanaume hafai kuwa mke' na 'mwanamke hafai kuwa mume' nyingine ni mbwembwe tu!
 
Kila mtu atamjua anayefaa au asiyefaa kulingana na vigezo alivyojiwekea
 
Wote wawe wa uwezo wa kifedha hata kama sio mkubwa,mapenzi yatakuja tu
 
Mume/mke bora ni yule aliyetayali kuingia kwnye ndoa kwa hiyali yake mwenyewe pasi kwa kulazimisha kwa wazazi umri pesa au hari yoyote ile.
ni yeye mwenyewe kuamua sa naingia kwnye ndoa
Ukbahatika kupata wa hari hyo na wewe ukampenda naye kukupemda basi haraka sana fanyen ndoa haraka
 
Back
Top Bottom