Nani bora, Mtanzania aliyeko USA au Mtanzania aliyeko Tanzania?

moneymakerman

Member
Jan 20, 2014
97
241
Nani bora, Mtanzania aliyeko USA ama Mtanzania ambaye anatafuta rizki Tz?
Nani kapigika zaidi, Watanzania walioko Marekani ama walioko Tz?
Nimeona baadhi ya wana JF wanakwaruzana kwa hili.
 
Yaaniii ukiwanamawazo hayoo utamtoaaa kafara mamayakoo

Kufanikiwa aijalish ukowapii n were NA juhudi zako AMA uibe AMA uwekeze any...ukiamini haya unaweza kwenda balozin bwan Michael akakupiga mimba usisikie usa ukaanza kuua nduguzako utoke ....jitahidi popote ulipo anza NA ulichonacho utatoka TU
 
Daah!Mi nadhani kudharauliana na kudhalilishana ndio chanzo cha mgogoro lakini diaspora wana umuhimu katika ukuaji na maendeleo ya nchi ubora wa kimaisha inategemea juhudi za mtu binafsi bila kujali uko usa baby!Au kimara king'ongo.
 
USA BABY! Hivi jamaa ameshasajili haki miliki ya hiyo slogan!? Nisije kuta naletewa wito wa kesi!!
 
Ni mfuko wako tu.. Maisha yapo mahali popote.. Hivi unafikiri kuna Mtanzania huko US anaishi vizuri kuliko Dewji au Mengi?? Maisha popote, hata Nanjilinji kuna wanaoishi vizuri kuliko Dar... Muhimu pesa tu..
 
Acha niwahi kukaa siti ya mbele ili niutazame mnyukano huu kwa ung'aavu zaidi.
 
Ni mfuko wako tu.. Maisha yapo mahali popote.. Hivi unafikiri kuna Mtanzania huko US anaishi vizuri kuliko Dewji au Mengi?? Maisha popote, hata Nanjilinji kuna wanaoishi vizuri kuliko Dar... Muhimu pesa tu..
Ww unaumwa, yan watanzania tuko low sana analytically, kwa taarifa yako mlevi wa kawaida kabisa aliyeko Uingereza au US anaweza kuwa na security kubwa kimaisha kuliko Mengi na pesa zake. Imagine umepata stroke, au ajali probability ya ww kuwahi hospitali iwe cjui kajambani muhimbili au Agakhan ni ndogo sana, sababu ya miundombinu mibovu unaweza kesha barabarani ukafia hapo, na hata kufika hospitali wataalamu wachache, unaweza. usiwakute wale mabingwa ukakuta wako hospitali nyingine, achilia mbali kuambiwa mashine zimeharibika. Usiyaangalie maisha ktka perspective ya bata tu. Ni mara ngapi majanga yanatokea labda moto zimamoto wanakuja masaa sita halafu hawana maji, ulaya issue ikitokea ni dk sifuri jamaa wako hapo.
 
Kwahiyo Nyani Ngabu anaishi vizuri kuliko Mengi au Bakhressa... Hahahahaha mkuu umetisha
 
ulishafika marekani ai. nenda kaone watanzania walivyo wachovu. nenda club ya watanzania uone kama kuna mtu atakupa offer. ajabu sana nilizungusha round baadaye ikawa kila mtu anaagiza kinywaji chake. wanaishi kwa bajeti sana
 
Back
Top Bottom