Mkuu muonee huruma Shemeji yako Mungu anakuona eti wirering wamekosea kusuka kichwaniSASA KUNA HUYU WAKWETU AMEMUOA SISTERI........................ YAANI KUNA HOUSE EMPTY PALE HOME ILIKUWA YA BABU NA BIBI WANAISHI KABLA HAJAFA...... JAMAA AMEMCHUKUA TU WAMEPANGA MARA DOGO ANALALAMIKA KODI JAMAA HAWEZI MARA SIJUI NINI......... IKABIDI WAAMBIWE WARUDI HOME KUNA NYUMBA EMPTY.
LIKARUDI BILA WOGA AISEE, WAMEKAA PALE HUU MWAKA WA TANO NA KIWANJA SISTERI IKABIDI APEWE NA KUJENGA WAMEANZA.
YAANI JAMAA HANA MSHIPA WA AIBU, HUWA NIKIMWANGALIAGA NAWAZA KICHWANI KWAKWE UBONGO UTAKUWA UMESUKWAJE AISE.... MAANA ITAKUWA HUYO FUNDI WIRING KUNA JINSI ALIPISHANISHA WAYA ZAKE.
MIMI MWENYEWE UKWENI LABDA MSIBA NA NIKIENDA NAKAA NYUMA KABISA. YAANI SIPO HURU HATA KUKOHOA NIKIWA UKWENI.
Nmeshamjua mchawi wanguMkuu muonee huruma Shemeji yako Mungu anakuona eti wirering wamekosea kusuka kichwani
Mkuu muonee huruma Shemeji yako Mungu anakuona eti wirering wamekosea kusuka kichwani
mkuu shemeji yako yupo humu humu jf alitoaga uzi wa kulalamika kuhusu kukaa ukweni na shemeji zake kumbe mmoja wao wewe?SASA KUNA HUYU WAKWETU AMEMUOA SISTERI........................ YAANI KUNA HOUSE EMPTY PALE HOME ILIKUWA YA BABU NA BIBI WANAISHI KABLA HAJAFA...... JAMAA AMEMCHUKUA TU WAMEPANGA MARA DOGO ANALALAMIKA KODI JAMAA HAWEZI MARA SIJUI NINI......... IKABIDI WAAMBIWE WARUDI HOME KUNA NYUMBA EMPTY.
LIKARUDI BILA WOGA AISEE, WAMEKAA PALE HUU MWAKA WA TANO NA KIWANJA SISTERI IKABIDI APEWE NA KUJENGA WAMEANZA.
YAANI JAMAA HANA MSHIPA WA AIBU, HUWA NIKIMWANGALIAGA NAWAZA KICHWANI KWAKWE UBONGO UTAKUWA UMESUKWAJE AISE.... MAANA ITAKUWA HUYO FUNDI WIRING KUNA JINSI ALIPISHANISHA WAYA ZAKE.
MIMI MWENYEWE UKWENI LABDA MSIBA NA NIKIENDA NAKAA NYUMA KABISA. YAANI SIPO HURU HATA KUKOHOA NIKIWA UKWENI.
sasa kama binti yao nalala nao kila siku kwa hvyo na hao wazee nilale nao??nyie jamaa mna mambo ya ajabu sana
usilale ukweni hata siku moja una matatizo gani yanakusumbua mpaka usilale kwa wakwe zako
eti mwingine anasema mnapiga story hadi mnakosa cha kuongea,, kwani hapo umefata story?
kuna muda mwingine ni lazima muende kusalimia ukweni mnaweza panga kukaa hata siku tatu,,
mfano unaishi mkoa wa mbali unavyoenda kwa wakwe huwezi ondoka siku hiyo hiyo ni lazima ulale angalau siku moja au hata mbili hata na zaidi inategemea na umuhimu wa safari yako
umeoa mtoto wao unalala nae kila siku afu wazazi wake hutaki kua nao hata siku moja, una matatizo sio bure
labda tu huyo mkeo awe hawapi wazazi kipaumbele
hivi ukifika uweni hata hamu ya kuinjoy na wife inakuja kweliiii??Mtu anamkula dadaako nje kwenu bwana.
Vijana wa leo sijui vipi kabisa........ na wazee wa kileo ndio wapolee wanaruhusu tu
mkuu shemeji yako yupo humu humu jf alitoaga uzi wa kulalamika kuhusu kukaa ukweni na shemeji zake kumbe mmoja wao wewe?
dah basi na shemej yako analalama kishenzi ila tatizo ni mdogo wenu
aaah mie Mungu asijaalie na atuepushe sote jmani ila dah ndo dharula hyo mkuu bila dharula inakuwa ngumu sanaaMaisha sometimes yanasababisha haya.
Usiombe maisha yakakuendea mrama unaweza ukafanya vitu mpaka unajiuliza huo ujasiri umeutoa wapi.
Kuna mmoja namjua kahamia ukweni mana maisha yamekuwa magumu na mkewe kaongea na wazazi wakamwambia kwanini ateseke aje tu nyumbani akae.
Kapatiwa sehemu ya kukaa mwenyew anaona afadhali kuna unafuu wa maisha.