lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 401
- 366
Wakuu habari za muda,..naomba tuchangie hapa kuhusu suala la sisi wanaume kukaa ukweni ...
Mie binafsi naona hata ile kukaa siku nzima na kulala siwezi kabisa kwanza naanzaje ?
mana raha unapotea ukweni mpaka wanakumisi yani,..
sio unakaa mpaka stori zinaisha bhana mnabaki kuangaliana tu mwisho unashinda chumbani na mkeo ..
unaenda then mda mfupi unawaaga mpaka wanashangaa ..
labda kwa baadhi yatamaduni kama zetu sie mke anaenda kujifungulia kwao sasa hapo unaweza kujikaza kuenda kulala siku moja moja tu ..
vipi wadau kwa upande wenu suala lla kukaa ukweni mnalichukuliaje??