Nani awaokowe Watanzania

sisi atujui kisukuma hivyo hatujaelewa ulichoandika

ila kwa wingi wenu wasukumaji huenda mkawaokoa iteni kamera ziwafwate ata chooni naamini hiyo ndo mbinu sahihi ya uokozi
 
Kumbe jamaa ni std VII leaver, siyo kwa uandishi huu aiseee!!
 
 

Mungu akusaidie sana... Yaani andishi hili linakuthibitishia kwamba mtu ana mapenzi ya dhati kwa nchi!
 
Wishful thinking. Jamaa wanajua kuwa watanzania wamelala, wangekuwa wameamka kama ilivyo Misri leo ujinga ungekoma. Mkombozi wa mtanzania anatakiwa kuwa mtanzania mwenyewe, aamke toka usingizini wanasiasa wataacha kutufanya wajinga.

Najaribu kuisoma akili yake, anachotaka tuamini ni kwamba kilio kila kona kinahusu madawa ya kulevya ambayo anasema yeye ndiye kaanzisha vita hiyo, which is not true. Watanzania wengi wana vilio vyao. Wana vilio vya umaskini na kutoweza kujikimu kwa mahitaji yao ya kila siku. He is playing garbage cards, hoping everyone will fall into his politically motivated fiasco....
 
Tunasubiri. Mange amesema leo anakuja kutatua mtanzio..stay tuned.
 
T
 
Tukiwa serious tutapata mtu, na mtu atakigopa kiti hivyo atakuwa makini
Angalia Rwanda wapo wapi sasa
hapa uswahiba, undugu, ukabila na ugirlfriend ndio kipaumbele
Tutegemee kundi dogo kupata maendeleo na si vinginevyo
 
Mkuu umenena maana tuhuma dhidi ya makonda ni za muda mrefu ambapo kwa mtu aliye makini angekuwa tayari keshazijibu lakini anachofanya ssa ni kutoa majibu ya kebehi ambazo hayafuti maswali yaliyomo vichwani mwa watu wanaohoji lakini namshauri kitu kimoja tu anapaswa kujiandaa maana muda mfupi ujao lazima atumbuliwe ili magu ajisafishe kwa kutofuata kauli zake za awali wakati anaomba ridhaa kwa maana kiongozi anayetuhumiwa lazima amuweke pembeni na ikumbukwe kelele nyingi zimepigwa kuhusu tuhuma za makonda
 
Sema kwa ajili yako siyo kwa ajili yetu,acha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Hao wote wako kwa ajili ya matumbo yao na familia zao


Nimesema kwa ajili yetu watanzania nikimaanisha pamoja nawe. Si unaona jinsi wanavyowashupalia wauza unga wa kuoza na wababishaji wa hapa mjini mpaka mnakuja kupiga kelele humu eti maisha magumu, rudini vijijini mkalime....mjini si kwa kila mtu.
 
Nimecheka Leo!hahahaaa hahaa a!uhakiki wa cheti cha makonda ni muhimu!ichukuliwe kama emergency tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…