Nikivuta hisia namwona Mhe.Simbachawane usoni yuko neutral lakini moyoni analia. Analia kwa sababu watu muhimu wa kufanya nao kazi wengi wao hawajui hata pakuanzia. Amesukumiwa watu tu==eti makada==hv ktk local gvt hakuna watumishi wenye sifa halafu makada==wengi sana==sidhani kama una la kufanya, kaa kimya, umia ndani kwa ndani, ukionyesha kutoridhika, utatumbuliwa. Simbachawene unajua kwamba hao wateule ambao hawana sifa watakaribishwa na maafisa wa halmashauri waliokata tamaa (demoralised). Vyeo walivyostahili kuvipata wao kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi, leo wanaletewa strangers!! Kazi unayo mheshimiwa. Huko Kuna enda kutokea mambo mawili== ama wakurugenzi watakuwa maboya yaani wataendeshwa na maafisa wazoefu na madiwani au watakuwa ma dikteta kulazimisha mambo yaende watakavyo. Yote yatakuwa na matokeo hasi kwa wakurugenzi hao na kwa halmashauri. Jiandae kisaikolojia mhe. Simbachawene na mm nakuombea Mungu akulinnde na dhoruba ijayo. Pole Sana.