Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

Hapana bila uelewa haya bana! kama uchumi siku hizi ni kushika mitutu ya bunduki na namna ya kupanga bajeti ya silaha!

Mkuu jaribu kufanya kautafiti kadogo, hawa wachumi wa wenzetu karibu wote ni member wa secret service wa nchi zao! Hawa watu mbali na kujua ABC za uchumi pia wanajua kulobby kwa kwenda mbele, hawa watu huwa wanacheza mchezo mchafu wa kuwaingiza kinga armatures wetu kupita maelezo... tumechoka kuandaliwa figure za maendeleo ya kiuchumi na IMF na WB...projections zao mara nyingi hazina ukweli na zinamalengo ya kutufanya tegemezi....Tunahitaji mashushu wenye uelewa wa uchumi kuongoza hiyo wizara... Kwangu mimi nadhani January Makamba atafaa ingawa ana madhaifu yake...
 
Nadhan kuna mchumi 1st class kule bungeni ambaye alishafanyaga kazi BoT. Kwa nini asipewe yeye?? Mimi ninampendekeza
 
Apewe Nehemiah Mchechu Kyando Mkurugenzi mtendaji wa NHC.Hili ni panga lisiloisha makali na kijana jembe haswa!
 
Joyce Mukya
Amepita,tutamwapisha hata kama hana dini tutatafuta utaratibu wa kumwapisha ailinde na kuitetea katiba ya nchi ili asipofanya hivyo,na akafanya kama alivyo fanya kwenye ziara yake ya kikazi nje ya nchi Tuweze kumshitaki
 
Mkuu jaribu kufanya kautafiti kadogo, hawa wachumi wa wenzetu karibu wote ni member wa secret service wa nchi zao! Hawa watu mbali na kujua ABC za uchumi pia wanajua kulobby kwa kwenda mbele, hawa watu huwa wanacheza mchezo mchafu wa kuwaingiza kinga armatures wetu kupita maelezo... tumechoka kuandaliwa figure za maendeleo ya kiuchumi na IMF na WB...projections zao mara nyingi hazina ukweli na zinamalengo ya kutufanya tegemezi....Tunahitaji mashushu wenye uelewa wa uchumi kuongoza hiyo wizara... Kwangu mimi nadhani January Makamba atafaa ingawa ana madhaifu yake...

Kwa kigezo ipi! Mkuu @ilboru 1995 ?
Na kama sikosei hiyo jina unalotumia inanishawishi kuwa umemaliza shule hiyo na kama ni hivyo utaleta hoja yenye nguvu na si ushabiki /posho/njaa na mengineyo ya kwanini unamwamini J.Makamba kuwa na uwezo!.

Kinyume na hapo unaidhalilisha Shule husika! (Vipaji maalumu)
 
Tujadili nini hapo mawaziri wanateuliwa na rais wanawajibika kwa rais sisi tusubiri tu maana lazima atateua mawaziri kuziba nafasi za alotengua uwaziri wale wanne na wengine mizigo kama ataamua .maana ni uamuzi wake
 
Watanzania tumerogwa, na aliyeturoga nae karogwa. Yaani kuongea kiingereza kwa ufasaha ndo tiketi kuwa waziri? Pambaffff!!!

Ndugu MWEMBEBASHA nadhani hukuelewa nilivyochambua kwa ufupi lakini nadhani siwezi kubishana na wewe maana neno uliloniwekea naliogopa. Ustaarabu ni kitu cha bure nadhani hukuone sehemu iliyoandikwa "... anaweza kuchambua masuala kwa ufasaha ... "kiingereza ni added. je si mlimshambulia Mlugo kwa kutojuwa mambo? secondly nilidhani JF ni jukwaa la wenye busara, hata wale wasiojua na hawataki kujua kama hawajui wamo? Mungu nisaidie
 
Back
Top Bottom