Wakusimamia nidhamu ndani ya CCM wapo wamejaa tele.<br />
Jambo la kuangalia hapa ni nidhamu ya namna gani isimamiwe?<br />
Makundi ya UJAMBAZI,UHARAMIA na UGAIDI yana watu wa kusimamia nidhamu zao.<br />
Mnadhimu wa MAGAIDI sharti awe GAIDI.<br />
Mnadhimu wa CCM sharti awe na tabia za kiCCM ambazo ni wizi,utapeli,udanganyifu,ufisadi na ushirikina.