Nani atasimamia Nidhamu CCM?

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Kama Msekwa ambaye alionekana Mr. Clean ndani ya CCM naye anatuhumiwa, nani msafi aliyebaki katika ccm atawahoji watuhumiwa waliopo ndani ya ccm waliokwiba wanyama hai na kuwapakia kwenye ndege KIA?
Nani mtu msafi CCM atakayehoji wenzake? Mtu ambaye hakuchukua nyumba za serikali kwa bei sawa na bure! Mtu ambaye hahusiki kwenye kashfa ya rada; hahusiki kwenye kashfa ya migodi; meremeta, Mwananchi Gold, Deep Green, Majengo pacha ya Benk kuu, hahusiki kuiba kura, hakukodiwa ndege na Barrick?
Simwoni hata mmoja, maana CCM imefika ukingoni, imekwisha.

nyaraka zaonyesha mtunza nidhamu ndani ya ccm ni chenge! mimi nawaambieni, mti huitwa kwa matunda yake isipokuwa mgomba. kwakuwa chenge ni mwizi, ccm ni .......zi

Labda Kingunge, manake aliaminiwa hadi akaachiwa kuedit ilani ya chama mwaka ulee.

Wakusimamia nidhamu ndani ya CCM wapo wamejaa tele.
Jambo la kuangalia hapa ni nidhamu ya namna gani isimamiwe?
Makundi ya UJAMBAZI,UHARAMIA na UGAIDI yana watu wa kusimamia nidhamu zao.
Mnadhimu wa MAGAIDI sharti awe GAIDI.
Mnadhimu wa CCM sharti awe na tabia za kiCCM ambazo ni wizi,utapeli,udanganyifu,ufisadi na ushirikina.

unaweza kuwataja?

nidhamu ya kweli itasimamiwa na sisi tulioibiwa amabo tuna uchungu kwa kweli if tukiweza kuwapindua hawa wana kondoo wenye makundi na tukawafikisha magaidi wa kodi zetu pahali panapostahili we can take over CCm na tukaiongoza wenyewe wenye uchungu na mali zetu,,,wanaharakati wa kweli,,,,

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom