Nani atanipenda humu

Mbona sioni wapi amejitambulisha kuwa yeye ni polisi, ama unawatambua hata kwa namna ya kujieleza

ndo maana nikakuita ili unisaidie mkuu....nilishtushw ana anavyojiita polisi ben na jinsi anayoenenda humu
 
ndo maana nikakuita ili unisaidie mkuu....nilishtushw ana anavyojiita polisi ben na jinsi anayoenenda humu

Nadhani hilo ni jina tu na huenda halina maana yoyote kwake, ila ukijadiri mwenendo na mtililiko wa andishi lake hapo mimi sina comment.
 
Unata upendo au ngono? Na
Kama unataka upendo kwa nini unaspecify mdada ? Ama ni pepo linaongea ndani yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…