Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 304
Kwani mtoto huwa akizaliwa anaanza na kutembea hapo hapo...... Basel aliuwasha moto ndio maana Chelsea wakamuona kama angekua anajitahidi unazani Chelsea wangemchukua??Hajang'ara huko kote kama anavyong'ara sahv acha upinguwani mkuu.Huko kote alikua anajitahidi tu.