Nani atakuwa Mchezaji bora wa Msimu EPL kati ya Salah na De Bruyne?

Ishu sio kufunga magori tu , Dr Bruyne ana perform mechi kubwa na ndogo huku Salah yeye anaonea vi Watford. Hamna kama De Bruyne msimu huu

Wewe Umelewa Kweli!! Ameshawafunga Magoli Kwa Mguu Wake CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY na SPURS halafu unasema anaonekana Kwa Watford tu??

Au Hujui Kama Ndani Ya Huu Msimu ambao Hata haujamalizika Ameshawafunga SPURS magoli 3, ARSENAL 2, MAN CITY 1 na CHELSEA 1????

Hakuna Mchezaji Hata mmoja Ndani Ya EPL aliyefanya Jeuri kama Hiyo...

Mkuu Kazi Yako Ni Kucheza Rede na si Soccer Kwahiyo Nakushauri Rudi Kwenye Kazi Yako Hapa Tuachie Wenyewe.
 
Ishu sio kufunga magori tu , Dr Bruyne ana perform mechi kubwa na ndogo huku Salah yeye anaonea vi Watford. Hamna kama De Bruyne msimu huu
Umekariri? Au unachuki tu na salah? Kwa hiyo magoli yote 28, sahah kaifunga Watford pekee!!!! Kweli mapenzi hupofusha.
 
King [HASHTAG]#Salah22[/HASHTAG] ni mtu hatari sana kwa afya ya wachezaji wa nafasi ya ulinzi wa timu pinzani.

Jamaa anafanya assist na kufunga, wakati fulani anarudi kusaidia viungo kukakaba.
 
Ishu sio kufunga magori tu , Dr Bruyne ana perform mechi kubwa na ndogo huku Salah yeye anaonea vi Watford. Hamna kama De Bruyne msimu huu
Acha ushabiki na hata Kama una ushabiki basi uwe unafatilia kabla hujasema kitu, timu zilizopo top 6 EPL kazifunga zote kasoro man u tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom