97% of people will fail this.
Just simple logic!!!!
Hiko ki-clip kimeniudhi. Nimeishia kati.
Hahah...kwa nini sasa kimekuudhi?
Wewe si ulitaka jibu...
Imekuwa kama inaishia kati na kuanza upya. Huyo alieitengeneza kama alikuwa anafanya advert fulani hivi.
Unaweza kuangalia hapa pia.
http://m.youtube.com/watch?v=LKLzv8INA3E
**these