balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,459
- 12,584
Huyu jamaa alibeba jukumu kubwa sana.Ameondoka.
Kama hujaelewa basi akili Yako haitoshi kuwa hapa.Acha haraka. Elezea vizuri
Alikuwa mtu wa watu wote,watoto,wakubwa,wanawake,wanaume,matajiri hadi maskini.Alikuwa anatukanwa na watu lakini hakasiriki.Alikubaliana na ukweli hata kama ni mbaya.Ilipodhihiri kwamba ni kibamia,alikiri na hakukasirika.Ni nani mwingine angeweza?Pengo gani hilo?
jukumu ganiHuyu jamaa alibeba jukumu kubwa sana.Ameondoka.