Nani ataisaidia Tumaini Univasity

Nani ataisaidia Tumaini Univasity

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
360
Reaction score
66
Jamani tukisema mnasema eti udini, lakini piteni jioni pale Tumaini University kampasi ya kurasini mjionee. Ni vurugu tubu Kwaya ya mazoezi zenye spika ziko juu, Maombi ya jioni nyimbo sauti juu. Bado watoto hawa wanailipa Tumaini University 2.5M/= kwa mwaka, Je, Uongozi wa chuo hiki hauoni umuhimu wa kuhamisha chuo ili hali pesa inapata? Au kwa kuwa siku hizi kila kitu ni ufisadi? Eloi wetu tuokoe.
 
Dah! lakini mbon ahao wanafunzi wako kimya......yawezekana sio tatizo kwao!!11
 
Usisahau ndugu yangu walipiga kelele maramoja wakafukuzwa shule. Naamini wanaogopa. Hivi kweli huu ni mradi wa kanisa? au kanisa ni kisingizio tu. Kwani elimu hapa Tz imekuzwa na taasisi za kidini iweje hii leo imechoka hivi? Nina wasiwasi na ufisadi.
 
Back
Top Bottom