Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Bonge la sifa hiyoTanzania ina uzoefu mzuri kwenye kushindwa kesi kama hizi.
Bonge la sifa hiyoTanzania ina uzoefu mzuri kwenye kushindwa kesi kama hizi.
Wewe ulisharudi kwenu gisenye?Muhanga wa utumbuaji majipu bado upo mjini?
Tuliambiwa kuwa hizi pesa siyo za serikali..kwanza Tanesco wawalipe scb-hk.
..baada ya hapo sasa Tanesco nao waidai Iptl.
..mafisadi papa waliosababisha deni hili wanajulikana. Wachukuliwe hatua za kisheria.
Lazima watemeshwe haoWaliocheza huu mchezo wanajua nini wanachofanya, amini nawaambia, hizi hela masikini Wantania tunaenda kuwalipia waliozila kupitia Tanesco. IPTL kamwe hawatato hata senti moja kulipa hilo deni na ndio maana wamenza figisu kwa kusema hawaitambui SCB, hii ina maana wamerudisha hili zigo kwa Tanesco. Hata hao wanaojidai kukata rufaa nikutaka kuzidi kuwalaghai Watanzania. Escrow ulikuwa ni mpango mkakati wa ccm kushinda uchaguzi mkuu 2015 kama ambavyo wamekuwa wakifanya chaguzi zilizopita.
Na hizo fedha za escrow ni mali ya nani?Mali ya serikali ya Tanzania.
Hayo yote ni chini ya chama tawala cha ccmNinaamini Tanzania haishindwi kesi kwa sababu ya ukosefu wa mawakili wazuri bali inashindwa kesi kwa sababu ya uwepo wa rushwa na ufisadi.
Kwa sasa tunaambiwa TANESCO inataka kukata rufaa, kwa maana nyingine, mawakili waendelee kulipwa zaidi.
Siwezi kukataa nikiambiwa mawakili wanafanya juhudi washindwe kesi ili wakate rufaa na kuendelea kupata malipo zaidi kwenye kesi ya rufaa.
Tuliambiwa Mkono & Co Advocates walipata pesa nyingi kwa mtindo wa kushindwa kesi na kukata rufaa ili waendelee kulipwa pesa zaidi.
As a nation, we’re still bang in trouble!
Hukumu iliyotolewa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes-ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB-HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba kwa sasa imeanza kuleta utata kwa wapita njia kama mimi baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL) kupinga maamuzi yaliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Kibiashara (ICSID) huku ikisema kama TANESCO watalipa, wao hawatayatambua malipo ya TANESCO kwa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK).
Hii ina maana kuwa IPTL hawaitambui Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB-HK) na kwa maana hiyo hata kinga (indemnity) waliyotoa tarehe 27 Oktoba, 2013 kwa serikali ya Tanzania inayosema kama kutajitokeza madai yo yote yale, IPTL yenyewe itawajibika haiwezi kutumika katika malipo kwa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB-HK).
Pamoja na kelele nyingi za kukata rufaa lakini mwisho wake kuna kushinda au kushindwa.
Swali linakuja, Kama TANESCO atashindwa, nani atakayebeba hii adhabu na kulipa pesa?
Je, Serikali ya Tanzania itaipeleka IPTL mahakamani ili kuishinikiza ilipe hizo pesa kwa SCB-HK kulingana na hukumu ilivyotolewa na ICSID kwa sababu IPTL iliweka kinga inayosema kama kutajitokeza madai yo yote yale, IPTL yenyewe itawajibika.
Kama TANESCO itakata rufaa, nani atabeba gharama za kesi ya rufaa kwenye ICSID hasa ikichukuliwa kuwa mashitaka katika ICSID ni kati ya TANESCO na Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB-HK) wakati mnufaikaji ni IPTL au SCB-HK kwa mujibu wa kinga (indemnity) iliyotolewa na IPTL kwa serikali ya Tanzania.
Tanzania itapata faida gani kwa TANESCO kukata rufaa ICSID wakati wanufaika ni IPTL au SCB-HK?
As a nation, we’re still bang in trouble!
unajua nyie CCM ni watu wa hovyo sana
ninyi wenyewe mmetengeneza wizi wenu mkagawiana fedha mjuavyo alafu mnaingiza taifa kwenye mess
majizi makubwa nyie
mnastahili kufungwa majiwe makubwa na kutupwa katikati ya bahari
Look at you
shameless thieves
Kosa au uzembe za serikali.
Kwa Tanzania kila jambo linawezekana!Mkuu jana yote nilikuwa nsaumbuliwa na issue hii, lakini bado najaribu kutafuta vitu vya kusoma na kuilewa vizuri, japo nahisi kuwa IPTL Ni mali ya Vigogo fulani Tanzania.
Tutaupinga vipi?Watanzania tupinge huu mchezo tunaochezewa.
Angalizo lako linatoa maswali ninayouliza.Na hiyo rufaa si kuwa haina gharama...unalipa gharama za advocate...na ukishindwa unalipa gharama za kuendesha kesi...
Mimi jana (au juzi) nimemsikiliza mwanasheria wa IPTL wala sikuambulia chochote ...haeleweki...na ukimsoma machoni...mmmnnnnhhhh ...yani ni nguvu ya hoja...ni kama katumwa kutuchanganya badala ya kutuelewesha...alikuwa anaongea kwenye taharifa ya Azam...amekazana TANESCO inabidi iendelee kuilipa IPTL...nadhani wako concerned zaidi na zile daily capacity charges wanazopokea (zisije katwa) kuliko maamuzi ya hii kesi...
Ya chama chetu cha maulajiHivi Tanesco ni mali ya nani?
Kwani hujuwi mkuu. IPTL ya wakubwa ile.Kwa Tanzania kila jambo linawezekana!
Inawezekana IPTL ni mali ya vigogo fulani Tanzania.
japo kuwa mimi siyo mwanasheria,lkn kuna vitu ambavyo tulidanganywa wakati wa sakata la escrow ili kutuliza upepo.Hukumu iliyotolewa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes-ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB-HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba kwa sasa imeanza kuleta utata kwa wapita njia kama mimi baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL) kupinga maamuzi yaliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Kibiashara (ICSID) huku ikisema kama TANESCO watalipa, wao hawatayatambua malipo ya TANESCO kwa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK).