utakua umechanganya mafaili julius mahinya
kweli ila nashukuru umeelewa!
Wapi una duku duku ili nipate mtazamo wako?japo sijakubaliana na wewe
ata ivo maisha ni kuchagua
uzuri haviozi..lol
mi uko kwa sample space siko kabisa
Hehehe...haya rafiki!
Haviozi ila vina-diminish na ubora unapungua. Refer Darwin's use and disuse theory.
Usikubali tu bro, put some sense into her pliz...!:tape:
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
ningeshauri wakat unafanya research,uwe unawaweka wazi na wao wawe na research zao na sample space sawa na zako kabisa..Gender balance
Usikubali tu bro, put some sense into her pliz...!:tape:
kwani wewe ulitaka umuoe yupi?
Kumiliki tu hao watatu tayari wewe ni PLAY BOY,utakuwaje nao watatu alafu iwe kawaida??Hilo jina la Lover boy tayari unalo kwa hiyo usilihofie kabisaaa,wewe tafta mwingine tofauti na hao.Hamtaniita lover boy au kuniona nami ni sehemu ya mapungufu, maana jamii lazima uiheshimu?
huoni kama ntashindwa kufurahia tendo la ndoa, nitakuwa siwezi kumuandaa kabla ya tendo kwa sababu ya harufu mbaya hivyo ntalidhisha nafsi yangu tu na kumuingilia mtu bila kumuandaa hakuna tofauti na kumbaka!
Ukishakosa muoaji ni wazi hata muolewaji hamna pia.
Vipi tukipata dharura tukalala Hotelini au tukasafiri na kuwa wageni wa jamaa au rafiki wa karibu tukalala huko au yeye akapata dharura na kwenda kulala kwa ndugu au jamaa/rafiki inakuwaje sasa? huoni hiyo wasiwasi itanisababishia madhara kisaikolojia na kupunguza radha ya ndoa?
Ulipogundua mapungufu kwa nini uliamua kuongeza mwingine bila kumwacha wa mwanzo kama njia zote zimeshindikana?Haya wa pili nae tatizo limekushinda hujamuacha na unatafta mwingine huku tayari unao wawili,uitwe nani wewe kama si playboy kwa kuwamiliki wote?Au uitwe mwaminifu?????????Au uitwe mvumilivu????sikuwachukuwa siku moja kila mmoja aliongezewa mtu kutokana na mapungufu hayo lakini nimegundua nakoelekea sibahatiki so natafuta suluhu sikuwa na lengo la kuwa na watatu! nilianza na moja lakini nilikuta heli jana kuliko leo!
I'm not too confident and let them down sir i want them to be safe!