Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
Chukuwa wa kwanza, halafu wote muokoke mkapate deliverence ya ukojozi. Period!
...yes bora wa kwanza, coz anahitaji deliverance tu!km hutudanganyiChukuwa wa kwanza, halafu wote muokoke mkapate deliverence ya ukojozi. Period!
Huyu katuambia ni wachumba, means kawalipia posa na kuwavisha kishika uchumba...
I'm so sorry some one privated me sms xo i missplaced the answer, that was not your ans i'm sorry again!!!!!!!Dude!...Are yo out of ya senses?
Dude!...Are yo out of ya senses?
Haya mkuu kakusanye!Hapoooo ndipo paliponichanganya!!!
Hii kuitana wachumba wakati ndo kwanza mnaanza urafiki mimi siipendagi sana...
Anyway, ngoja ni-log-off nikakusanye na mimi ka sample space kangu!!!! naanza na mjane wa mwananthropolojia ( mimisa )
I'm so sorry some one privated me sms xo i missplaced the answer, that was not your ans i'm sorry again!!!!!!!
Kuokoka ni imani ya mtu ambayo mimi kama mimi kuizungumzia ntakuwa sijui, maana yeye ndio pekee anaweza kuamini ili apone japo sijajua kuokoka mpaka uwe mlokole kwanza niulize? maana nalo si dhehebu langu kama ni kwa madhehebu yote mbona anaenda church sasa na mambo ndo hivyo?...yes bora wa kwanza, coz anahitaji deliverance tu!km hutudanganyi
hapo hamna unayempenda hata mmoja, ungependa kutoka moyoni usingeuliza, ukimpenda mtu kama ana tatizo unamsaidia kutafuta ufumbuzi ili uendelee kuwa nae. so acha kuwapotezea muda. by the way, tatizo la kukojoa kitandani linatibika, acha kuwa mbinafsi mtafutie ufumbuzi wa hilo tatizo.
toa kibanzi ndani yajicho lako utatoa boliti kwny jicho la mwenzako,usikute mwenyew domo lanuka ''vp unaweza jigundua?''
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
Hapoooo ndipo paliponichanganya!!!
Hii kuitana wachumba wakati ndo kwanza mnaanza urafiki mimi siipendagi sana...
Anyway, ngoja ni-log-off nikakusanye na mimi ka sample space kangu!!!! naanza na mjane wa mwananthropolojia ( mimisa )
^^
Heri umesema kweli
^^
Sikupenda itokee hivyo ni weakness zao zimenifikisha hapo! wewe toka uzaliwe eti mbele ya Mungu ni mmoja tu? au unamiliki kila mtu na kipindi chake?wote hao wewe tuu?
Sikupenda itokee hivyo ni weakness zao zimenifikisha hapo! wewe toka uzaliwe eti mbele ya Mungu ni mmoja tu? au unamiliki kila mtu na kipindi chake?
tunaongea abt u..
kwa iyo ukatumia weakness zao kua nao wote watatu kwa wakat mmoja
Hamna muoaji hapa.