NANI anazidi U-HANDSOME wa PESA?

NANI anazidi U-HANDSOME wa PESA?

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,128
Ukiwa huna pesa,utaonekana wewe si mtanashata,wewe huna upendo mana hata uwezo wa kununu zawadi huna,na kasoro kibao zitatajwa mara mweusi mno,mara mshamba,mara mbabu,mara mtoto,mara mfupi nk.
LAKINI PESA INAONEKANA NDIO HANDSOME KULIKO MAHANDSOME WOTE,with money,utaitwa mtanashati,unajua kujali,zawadi zote hazitashindikana,wala hautasikia ukiambiwa wewe mweusi mno,mfupi mno NK.
 
hujaeleweka bado...

With money:hautasikia ukiambiwa mapungufu yako ZAIDI YA KUPENDWA NA KILA MTU.japo unaweza usiwe handsome na UNAWEZA KUMUNYANG'ANYA HANDSOME DEMU WAKE MREMBO.
 
You're research is too bigoted
 
Nunga mkono hoja. Ndiyo maana mzee wangu kaopoa kifaa kilichoshinda vijana:
 
Attachments

  • Mengi-tweet_klynn.jpg
    Mengi-tweet_klynn.jpg
    29.8 KB · Views: 87
Mbaya zaidi wanawake wa siku hizi hutumia kigezo hicho kumkubali mwanaume. kweli inasikitisha sana. Sasa mdau unafikiri ni kwa nini siku hizi hali imekuwa hivi?????
 
Pesa ndio kila kitu hata kama una sura mbaya utaitwa handsome.
 
Hawa wa mjini au unaongelea wadada gani???!!!!

Asilimia kubwa ya wenye hela washamba na wasiokubalika kwa vigezo vya wanawake wengi huishia kuhudumia,kujenga na kutoa mtaji lakini demu ataendelea kumegwa na "handsome" wa chaguo lake na kuzaa wanazaa!!!!

Kalaga baho muyangu!!!!!

They say money can buy you all but love and true hapiness!!!
 
Mbaya zaidi wanawake wa siku hizi hutumia kigezo hicho kumkubali mwanaume. kweli inasikitisha sana. Sasa mdau unafikiri ni kwa nini siku hizi hali imekuwa hivi?????

Kwa sababu umri wangu ni mdogo na babu zetu hawabonyezi keboard kuweza kutudhibitishia hoja yako japo mimi najua hili hata zamani,ila tofauti ni kwamba zamani kigezo ilikuwa familia unayotoka,kama ikiwa masikini basi inakula kwako mana waliamini watateseka na mahali yenyewe hawataweza kutoa kama SISI akina ngosha bila ng'ombe kama mahali utegemee kukosa binti mrembo.Kwa sasa umasikini unaangaliwa sana kwa mvulana,mwanaume,mpenzi ama muoaji na si familia atokayo.
 
50cent rapa maarufu wa marekani akihojiwa alisema: sikuhizi msichana akikwambia wewe ni sexy, uwa ana maanisha wewe una pesa, wewe ni maarufu, wewe una majumba na magari. Kama huna pesa you are not sexy
 
Hawa wa mjini au unaongelea wadada gani???!!!!

Asilimia kubwa ya wenye hela washamba na wasiokubalika kwa vigezo vya wanawake wengi huishia kuhudumia,kujenga na kutoa mtaji lakini demu ataendelea kumegwa na "handsome" wa chaguo lake na kuzaa wanazaa!!!!

Kalaga baho muyangu!!!!!

They say money can buy you all but love and true hapiness!!!

Kwa nini wanawake wengi wazuri hawaolewi?Ni wasaka noti,iwe wa mjini ama vijijini,alafu kuzaa nao mbona wanazaa na wanapoona wameshiwa huwakimbia na kwenda kuzaa nao,eti utasema unapendwa huku mkeo anamegwa na wenye mmey?
 
Back
Top Bottom