Nani Anayetoa Idea ya haya madeal?

Nani Anayetoa Idea ya haya madeal?

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,849
Wadau naamini hapa tuna watu mbali mbali hasa wazalendo kutoka Ikulu, Usalama wa Taifa, Banks, Makampuni mbali mbali na sehemu mbali mbali nyeti.

Hivi haya Madili ya kukwapua fedha za Umma ni nani huyu ambaye huwa anatoa idea kuwa kuna fedha Bank kuu hazina wenyewe twende kuzikwapua?

Nani huyu mweye ubavu wa kutamka hayo maneno na kuweza kuungwa mkono na wahudhuriaji?

Epa, Richmond, Deep Green, ESCROW, Nk. nani ambaye huwa ni wa kwanza kutoa hii idea?

Je idea inaanzia Bank kuu? Ikulu? kwa wafanyabiashara? au wizara ya fedha? au wapi?

Na je hadi idea inamfikia mkulu ni nani mwenye ubavu huo anayejiamini kiasi hicho anaenda kumshirikisha mkulu haya madeal ya hatari hivi?
 
Muasisi wa hizi deal ni Rostam Aziz
 
CCM ndio vinara wa wizi wa hela za umma
 
Hapa nadhani huwa kuna mlolongo wa watu wengi wenye access na watu wazito au wakubwa wenye maamuzi na mamlaka, kwa mfano, mtoto wa Rais, ndugu au rafiki mkubwa wa Rais huwa ni rahisi kumpenyezea Rais wazo hilo baada na wao kufuatwa na wengine kwa ahadi kedekede.
 
Wadau naamini hapa tuna watu mbali mbali hasa wazalendo kutoka Ikulu, Usalama wa Taifa, Banks, Makampuni mbali mbali na sehemu mbali mbali nyeti.

Hivi haya Madili ya kukwapua fedha za Umma ni nani huyu ambaye huwa anatoa idea kuwa kuna fedha Bank kuu hazina wenyewe twende kuzikwapua?

Nani huyu mweye ubavu wa kutamka hayo maneno na kuweza kuungwa mkono na wahudhuriaji?

Epa, Richmond, Deep Green, ESCROW, Nk. nani ambaye huwa ni wa kwanza kutoa hii idea?

Je idea inaanzia Bank kuu? Ikulu? kwa wafanyabiashara? au wizara ya fedha? au wapi?

Na je hadi idea inamfikia mkulu ni nani mwenye ubavu huo anayejiamini kiasi hicho anaenda kumshirikisha mkulu haya madeal ya hatari hivi?

Engineer wa hizi Issue kwa sasa hapa Bongo ni Andrew Chenge na hasa Ndani ya Dola. Na behind the screen R.A hasa issue ya kumtafuta mfanyabiasha yupi anaweza au kuhimili hizi dili na mikiki yake.

haya madeal anayeyaanzisha ni ROSTAM AZIZI huyu ndiye mtu wa kwanza kutajwa kuwa Alishauri kwa MKAPA kipindi cha EPA kuwa kuna fedha za EPA tunaweza kuzitumia,hapo ndipo ZAKIA MERJI alipoitwa kutoa maelezo na uwezekano wa kuzichukua kiulaini.
 
Kama ni mzoefu wa ofisi nyingi wizi huwa initiated na top boss, Kwa kauli ifuatayo;

Mkurugeni mkuu akimshawishi Director of finance "aisee bwana mapesa hebu angalia ni wapi tunaweza pata pesa kidogo kuna kamradi kangu kamesimama kbs kanahitaji nguvu zaidi"
 
Wadau naaminiUganda /Eac tuna watu mbali mbali hasa wazalendo kutoka Ikulu, Usalama wa Taifa, Banks, Makampuni mbali mbali na sehemu mbali mbali nyeti.

Hivi haya Madili ya kukwapua fedha za Umma ni nani huyu ambaye huwa anatoa idea kuwa kuna fedha Bank kuu hazina wenyewe twende kuzikwapua?

Nani huyu mweye ubavu wa kutamka hayo maneno na kuweza kuungwa mkono na wahudhuriaji?

Epa, Richmond, Deep Green, ESCROW, Nk. nani ambaye huwa ni wa kwanza kutoa hii idea?

Je idea inaanzia Bank kuu? Ikulu? kwa wafanyabiashara? au wizara ya fedha? au wapi?

Na je hadi idea inamfikia mkulu ni nani mwenye ubavu huo anayejiamini kiasi hicho anaenda kumshirikisha mkulu haya madeal ya hatari hivi?

Anaisokilizia kupiga Rwanda sasahivi akamilishe uganda
 
Back
Top Bottom