Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

mimi naona Demu ni jina la kihuni na si sawa kumwita msichana yeyote hivyo...
ni sawa ukiwa unaongea na marafiki zako wengine wa kiume namna hiyo....
kama kuna wengine wanapenda kuitwa hivyo hiyo safi..
binafsi silitaki...
kama huwezi kunipa jina la kheshma niite Afrodenzi ...
samahani kama nimekukwanza lakini napenda kuweka things straight forward from beginning...

AD

OOhh wewe kumbe uko straight!
 
hahahahhaha Rev naona leo umeniamkia lol...
naona ni vizuri kuambiana vitu wazi au we waonaje..???
kama hupendi kitu unasema na kama unapenda kitu unatoa shukrani zako.. au vipi???

Straight ninayoijua mimi si hiyo! Inabidi kuhamia jukwaa la wakubwa
 
Hii thread yako haina maana yoyote we paka mweusi. Wewe weka mada yenye akili hapa tujadili

Samahani sana mkuu kwa kuweka thread isiyo na maana kwako,lakini naomba nikushauri tu kama unataka thread za maana kwa nini usimtembelee yule jamaa aliyesema kuwa jana katembea na mama mkwe wake, naona hiyo kidogo itaendana na unachotaka kukisoma.
 
mimi naona Demu ni jina la kihuni na si sawa kumwita msichana yeyote hivyo...
ni sawa ukiwa unaongea na marafiki zako wengine wa kiume namna hiyo....
kama kuna wengine wanapenda kuitwa hivyo hiyo safi..
binafsi silitaki...
kama huwezi kunipa jina la kheshma niite Afrodenzi ...
samahani kama nimekukwanza lakini napenda kuweka things straight forward from beginning...

AD
hebu nikumbushe wapi nilikuita wewe afrodenzi demu, maana naanza kuchanganyikiwa.
 
Hii thread yako haina maana yoyote we paka mweusi. Wewe weka mada yenye akili hapa tujadili

watu wengine bwana....

si lazima uchangie thread zote.....
kama hii mada huipendi nenda kwenye nyingine.....
jina lako lingekuwa hapo juu... ingekuwa ya maana kwako au vipi??
saa nyingine ni borea kunyamaza kama huna la kusema ...
 
hahahahah lol...
asante sana mkuu...
bado nasikiliza zile ulizonitumia lol

Baby nilishakuambia toka zamani kuwa kila ninachokifanya kwako kuonyesha mapenzi yangu naona hakitoshi naomba uniruhusu tu niendelee na madedication Laaziz wangu...
 
hebu nikumbushe wapi nilikuita wewe afrodenzi demu, maana naanza kuchanganyikiwa.

Burn
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact

user-online.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateWed Dec 2008Posts1,452Thanks97Thanked 153 Times in 125 Posts Rep Power25

Wamebadili ID's!

Kwa hiyo hawa mademu wapya akina afr.. labda ndio akina xspin
 
Back
Top Bottom