St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,503
- 4,172
WanaJF naomba tu niwaulize swali hili,maana siku hizi kila kukicha tunaona post za ajabu na vile vile kuna zile zilizokwenda shule,na ili watu wajitathmini naomba tu wewe msomaji utakayepitia hapa ujaribu kuandika majina japo mawili matatu ya wale wanaokuvutia kwa post zao na sio mbaya ukatoa na sababu ni kivipi wanakuvutia ila sio lazima na kama kuna anayekukera naye sio mbaya ukimuandika ili members tujitathmini na tujielewe tunavyoonekana katika jukwaa hili.Na kwa kuanza mimi huwa navutiwa sana na post za Dark City aka babu na bibie Afrodenzi bila kumsahau mtani wangu LoyalTzCitizen.Naomba kuwakilisha ,ni mimi Paka Mweusi