Nani anaweza kuwa na moyo huu...?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
upload_2017-10-3_20-54-0.png
 
Ah yani nife kwajili ya dem akati nikifa ataliwa na wenginehuo upuuzi sifanyi naacha tu atangulie au ka vp tusepe wote tu
 
Huo ni upendo walio agizwa wanaume hata kama wakikutana na mwenye kutoa roho yake, kwasababu ya mke anaye mtii
 
Ngoja akoki kile kijidude kinachokuaga nyuma ya pistol kama utaona wanaume wawili hapo
 
Si tumezeeka enzi hizo bibi yenu anatetemesha mtaa nilikuwa radhi kuuza hata nyumba ya urithi
 
Unajitoa halafu jamaa anamchukua na kuwa mboga yake, huo ukilaza siwezi.
 
Back
Top Bottom