Nani anaweza kuunda hii mashine

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,100
Reaction score
1,608
Nahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi.

Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na nitainunua kwake
 
Challenge ya kukuna nazi baada ya nyimbo ya mondi kutoka alishindaga yule mzee anakuna nazi huku kaegemea sofa. Sidhan kwa mkuno ule pale sofani kama itashindikn kupatikana nyuzi kama hizo
 
Inafanya kazi gani hiyo? Kama walivyokwambia nenda SIDO watakusaidia.
 
Style mpya hii ya mbogamboga kuingiza watu kwenye 18 yards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…