Salaam Wakuu.Tumesikia Habari Za Kujiuzulu Prof.Lipumba, Mwenyekiti Wa CUF.Kujiuzulu Huku Kumetia Pengo CUF Na UKAWA.Linahitaji Kuzibwa Na Mtu Mwenye Uwezo.Nani Anaweza Kuwa Mwenyekiti Mpya Wa CUF?MagdalenaSakaya,Julius Mtatiro,Jusa Ladu, Kambaya...Nani Anafaa?Tutafakari
Babu Duni
Mtatiro
Mtatiro anafaa kama watamwamini, pia atakuwa ameondoa ile dhana ya udini inayohubiriwa na maccm
Mtatiro Apewe jamani, anafaa sana
Chadema historia itahukumu kwa kuchagua viongozi wabovu...mmemuweka Lowassa watu hawamtaki..bado tena mnataka kuchagulia CUF kiongozi?? Du!