Naingia wasisi kwani Chamalone binafsi simwamini Tena maana anatusababishiaga magoli ya kizembe, yule jamaa aliyecheza alipokuwa majeruhi ni hatari sana mzee baba, hajasababisha tufungwe goli kizembe, kwanza pasi zake za uhakika kuliko Chamalone!
Akicheza Chamalone kwa wale Waarabu kule Morocco tumekwisha!
🦁🦁🦁 Nguvu Moja!