Nani anawapa kiburi Wachina katika nchi hii?

Nani anawapa kiburi Wachina katika nchi hii?

acha wapige pesa wachina wa watu soko huria babu we
 
Wachina wanajiamini sana nchi hii nadhani hata ile mikataba aliyesaini raisi xijing na mkwere inahusika. Hawafati sheria yoyote hii ni aibu ingekua ni mubongo China nchi hii utafikiri haina utawala bora

Ile project ya Afrika kusini inabidi iwahusu wachina
 
Haya yote yamesababishwa na yule andunje Rizimoja... Yaani huyo mjinga mmoja ndio anatufanya tuporwe kila kitu na Mchina..
 
Wakati tukiendelea kupiga kelele, basi na sisi tuamke! Hizo kazi wanazofanya wachina ni fursa nzuri kwa vijana na ina tija ndo sababu wao wanathubutu kufanya. Vijana wengi wasomi wanalalamika kila siku kwenye mitandao hatuna ajira wakati fursa zipo kibao tunashindwa kuzitumia wanajitokeza wachina kwa sababu ya uzembe wa viongozi kushindwa kusimamia sheria ya wageni wanafanya shughuli hizo na zinawatoa huku tukibaki kulalamika

Wakati tukisubili viongozi wazembe kuchukua hatua, tutumie fursa hizi kuwahamasisha vijana kuongeza uwezo wao wa kufikiri ili wazifikie fursa lukuki zilizopo ili waweze kujikwamua kiuchumi kabla hazijamezwa na hao maharamia
 
Jamani wana JF mbona watu musiolewa na kulalama kila siku? Hivi kwani hamjui kuwa hao Wachina wanaokuja nchini ni washirika na rafikize Babe MwanaAsha na wanakuja na kuishi nchini kwa hisani yake tu?

Hivi mbona hata sisi WaTanzania wametufanyia hisani nyingi huko kwao China au ndio hata hamkumbuki? Eeh hivi Kakake MwanaAsha alipokamatwa na mzigo wake kule mbona na wao walitufanyia hisani wakamtoa? la sivyo si tungekuwa twazungumza mengine saa hizi?.
Eeh basi wacheni na wao wapete nchini kwetu japo kidogo. Hivi mumesahau kuwa 'ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa'🙂
 
Hii Tanzania yetu ni ajabu mno yaani hii nchi ni shamba la bibi kabisa....kwanza kuna misomali wao kazi yao ni kusafirisha wasomali na waethiopia,polisi wana taarifa but wao wanakula na kuishia zao.....nchi imejaza watu wasio na sifa ya kuishi humu....Lowassa njooo
 
Sasa kama nyinyi mmekuwa wazembe wao wafanye nn? Acheni wajichukulie vyao
 
kwa taarifa yako TZ is Chin.a`s overseas territory.....
 
Wewe hujui kwamba wamepewa go ahead na CCM? marafiki wakubwa wa CCM ni China mpaka wanavalishana kofia za chama bila kujali diplomasia! ukiondoa CCM wachina watawajibishwa ipasavyo, ukiibakiza utaendelea kulialia kuhusu hao jamaa, amka.
 
chukua ujuzi ww mwenzio niliwaona wachina wanatengeneza vinyago kwa kutumia asali badala ya mpingo km makonde hata situmii nguvu na napiga dollar kwa wadosi mbayaaaaa
 
Ukiwa china ....ukiwauliza kuhusu tz wanakujibu,ni nçhi ya watu wasiojielewa,ni nchi ya watu wasiokuwa na elimu hata ya kutengeneza kijiko...la mwisho ni koloni lao ...ndio maana wanafanya hivyo
 
Jiulize Mara mbili utaelewa nani alidakwa China na bwimbwi
 
Back
Top Bottom