Njanga Tz
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 843
- 655
Yani hii nchi ya ovyo sana. Hivi ni nani anaewapa kiburi wachina waliopo Tanzania?. Sio mara moja au mbili hawafuati sheria hata kidogo na ni wakali kuliko na wanawanyonya wazawa ile mbaya.
Licha yakujaa kama kumbikumbi kariakoo sahiz wameacha kuuza ndala na mikoba kariakoo sasa wanafyatua matofali. Jamani hadi tofali linafyatuliwa na mchina? Haki ya Mungu nchi hii nahisi tunalaana siki watauza hadi karanga mitahani.
Mungu ibariki Tanzania yani tumelala fofofo kabisa.Hv kwann kusiwe na sheria kwamba kazi zingne ni za wazawa tu jaman.
Itv wamerusha habari ya wachina wanaofyatua matofali nakuuza vigae bila kibali. Shame on us wa Tz