Lectures au Lecturers?
Mara nyingi ni uongozi wa Chuo ndiyo unawaajiri lecturers.
Kwa taasisi binafsi ni chuo ndicho kinawajiri tena ni kitivo ndicho kinatafuta watu wa kuwaajiri.
Kwa taasisi za serikali wengi wanaajiliwa na chuo lakini wanakuwa watumishi wa Umma.
Na suala la Principal au Chancellor kumfukuza Lecturer kazi ni ngumu sana kwasababu ni waajiriwa wa serikali,
Na kwa taasisi binafsi pia ni ngumu kwasababu Mtu anafanya kazi kwa mkataba fulani. Hivyo kama atamfukuza basi mtu atalipwa gharama nyingi sana.