Nani anaumia (Unapokutwa / Unapokuta) na usiemjua

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,956
3,832
Mbali ya ile kufumania/kufumaniwa.
Inatokea paap unamkuta mupenzi wako yupo na mwengine na wana furaha na mazungumzo yalionoga ila unapotokea wanajaribu kukuchangamkia na kukujumuisha kwenye mazungumzo na mada ambayo huijui inaonekana kuendelea.
Hapa kitu kinaitwa wivu kinapotea ila roho inaonekana kuuma .
Je utachunguza au utatoa onyo pembeni ,ila unapotoa onyo unakutana na utenzi mzito yule ni rafiki hapo zamani za kale na hili na lile.
Je una ushauri gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…