Nani anatuwakilisha Mazishi ya Raila Odinga?

Nani anatuwakilisha Mazishi ya Raila Odinga?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,103
Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
 
Ndio umuhimu wa diplomasia na ujirani mwema kwenye shida na raha,ushirikiano mwema kama majirani na jumuiya moja,jamii moja.

DIPLOMASIA MAHUSIANO MAZURI .
 
Back
Top Bottom