Nani anatumia app ya clubhouse?

Sababu ni ndogo tu Apps nyingi zinatengenezwa Califonia ambapo ndio Apple ilipo ambapo watu wengi kule wanazo iPhones na Macbooks kuanzia developers na founders

So haiingii akilini founder awe na iPhones na group la developers aanze ku develop app ya Android

Sisemi kuwa hawana simu za Android wanazo ila Apple gadgets ni nyingi mnoo
Mkuu apps nyingi mashuhuri zimeanzia iOS kuanzia WhatsApp, Instagram, Snapchat na nyingine zimeanzia iOS ndipo zikaja android.
Mimi kwasasa natumia android ila ni fan wa iOS na MacOs
 
Clubhouse ni nzuri na kipengele kinachoipa ushindi ni uwezo wa kuchati kwa sauti, bei yake huanzia $8.50 kwa mwezi, kwa kila mtumiaji. Kuna toleo la bure pia. Kwa sasa Clubhouse inapatikana kwa watumiaji wa iOS.

View attachment 1701914

Kwa watumiaji wa Android kuna majaribio machache yanaendelea, tukitazamia kufikia matumizi.

Tazama maelezo ya huduma na mambo yanayohusu Clubhouse hapa👇 https://www.getapp.com/project-management-planning-software/a/clubhouse/features/

Clubhouse Alternative unazoweza kutumia ni Discord




Na hivi sasa kuna majaribio makubwa yanaendelea ya Twitter Spaces hii Twitter Spaces itakuwa na functionality nzuri na nyingi zaidi.

Mnyatiaji
 
Back
Top Bottom