M maramojatu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 2,260 Reaction score 2,977 May 27, 2017 #1 Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uthibitisho wa vyakula vya mifugo wanavyopewa wanyama yetu siku zote Bila Majibu. Ni Nani wanahusika Tfda au TBS.. mbona havijawahi kushikwa ambavyo ni substandard au vyote vinakidhi vigezo?
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uthibitisho wa vyakula vya mifugo wanavyopewa wanyama yetu siku zote Bila Majibu. Ni Nani wanahusika Tfda au TBS.. mbona havijawahi kushikwa ambavyo ni substandard au vyote vinakidhi vigezo?