,,,,,,,,,MWANAUME LAZMA RAHA UPATE ILA TU MANJONJO YA ..KE YATAIONGEZA IO RAHA ,,,,ONA MME TUNATAKIWA UJUZI/UFUNDI/UTUNDU ILI MKE NAE AFURAHI JAPO SMTIME NAO OVO KWAN WENGNE KA MAGOGO UTATAFUTA HCIA WAPI HATA HAKUNA KUJISHUGHULISHA.......UKISHINDWA WE TAFUTA RAHA YAKO KISHA MALIZA MECHI!!!!!!!! ;;..........teh teh teh teh teh tehNa mimi naomba kuuliza kati ya ME na KE nani anapata utamu/raha zaidi?
Hiv baada ya sex ni nani ambaye anatakiwa kumshukuru mwenzake kwa tendo. Mi nadhani wote wanatakiwa kushukuru
Na wale wanaosoma magazeti wakati wenzao waki-pump nao wanatakiwa kupewa ahsante?
kwani mwanamke hajafanya kazi.....,alivyokuwa anajitumikisha kukata mauno,mastyle kibao halafu asiambiwe asante?
au kazi nzito ni ya kupump tu
Na wale wanaosoma magazeti wakati wenzao waki-pump nao wanatakiwa kupewa ahsante?
Ukiangalia "conversation" yetu hapo juu utaelewa nilikuwa namaanisha nini. Ahsante kwa kushiriki.Ofcoz. Kwani akisoma gazeti utamu unahamia kwenye gazeti?
Ukiangalia "conversation" yetu hapo juu utaelewa nilikuwa namaanisha nini. Ahsante kwa kushiriki.
Ofcoz. Kwani akisoma gazeti utamu unahamia kwenye gazeti?
Dada yangu kipenzi Heaven on earth ulipouliza kwa nini mwanamke asipewe ahsante wakati anajishughulisha, mimi nikauliza je kwa wale wanawake ambao hawajishughulishi kwa maana ya kumuachia mwanamme kila kitu tena nikatoa mfano wengine wanasoma magazeti, jenao wanastahili ahsante?kuwa wazi kwa hiko ulichokimaanisha mi sijakupata,
may be King'asti kakuelewa
Dada yangu kipenzi Heaven on earth ulipouliza kwa nini mwanamke asipewe ahsante wakati anajishughulisha, mimi nikauliza je kwa wale wanawake ambao hawajishughulishi kwa maana ya kumuachia mwanamme kila kitu tena nikatoa mfano wengine wanasoma magazeti, jenao wanastahili ahsante?
Hapo nafikiri wewe na King'asti niliwaacha kidogo. Nilimaanisha hivyo, sasa naomba mnisaidie jibu.
Hapo kwenye blue color ndiyo nilipokuwa napataka, ahsante kwa jibu lako zuri.hapo si kuna kitu kitamu amekuachia ambacho wewe uko bize kupump..kwani huwezi kujishugulisha kama huna kitu cha kujishugulishia
huyo nae inabid umpe asante japo kwa kukuachia ile kitu roho inapenda.......
Ingawa next time mambo ya kusoma magazeti wakati mna DO si mahali pake alikuwa wapi kuyasoma mda wote.....