Kwani mkuu mwanamke hapati utamu?Mwanamke anatoa pole kwa kazi nzito na mwanaume anaitikia asante kwa utamu alioupata
unauliza na kujijibu mwenyewe mbonaHiv baada ya sex ni nani ambaye anatakiwa kumshukuru mwenzake kwa tendo. Mi nadhani wote wanatakiwa kushukuru
hapo umenena mkuu
Mwanamke anatoa pole kwa kazi nzito na mwanaume anaitikia asante kwa utamu alioupata
Anatakiwa na nani?
Na mimi naomba kuuliza kati ya ME na KE nani anapata utamu/raha zaidi?
Hujanijibu mkuu.Kazi kweli kweli
Na wale wanaosoma magazeti wakati wenzao waki-pump nao wanatakiwa kupewa ahsante?kwani mwanamke hajafanya kazi.....,alivyokuwa anajitumikisha kukata mauno,mastyle kibao halafu asiambiwe asante?
au kazi nzito ni ya kupump tu
na mwenzake shughuli si ilikuwa inawahusu hao wawili tu
ni yule tu aliyekuwa ameomba msaada wa ngono
ladydoctor
Mambo??
Na mimi naomba kuuliza kati ya ME na KE nani anapata utamu/raha zaidi?