Kwanini usife kwanza wewe? Tekelezeni amri za mahakama zenu wenyewe la, kama mna jambo mnalolihofia kutajwa mahakamani. Nachelea kusema kuwa hakuna mpango mkakati wa kuficha jambo fulani msilotaka tulisikie. Mtibuni kama mahakama ilivyoelekezw ili tuujue ukweli kutoka kwake!wacha afe tu, kwan yy ni nani hadi asife
Unataka ku recover fedha zipi ndugu? Kumbuka fedha zaidi ya 60% ziligawiwa kwa wale waliochota kupitia Stanbic bank na hadi leo hii hawajulikani. Tambua kuwa kundi hilo inawezekana ndio linalotaka kuhakikisha Seth anapoteza maisha ili wao wasiweze kujulikana na ni wazi wengine inawezekana ni wale wasiotakiwa kuguswa.U
Unaweza ukamdhoofisha mtu hadi ukampoteza kabisa. Baada ya hapo? Tuta recover hizo fedha kwa njia gani?
Do you think singasinga grabbed the money from BOT by force?? If not then who do you think authorized its release?? Do you think whoever those people are, they will be happy to see all of their secrets revealed?? What other better way to protect themselves than to make sure singasinga is silenced forever??Nonsense what will you benefit by his death? Think twice before you make such a nonsensical statement. Regardless of his problems, He is still a God's creation just like you and I
Sent using Jamii Forums mobile app
Msoga and CoWanamdhofisha kwa sababu... Kesi ikiendeshwa vizuri, yatakayofukuliwa watu wengi usiyowategemea watakwenda na maji...
Cc: mahondaw
akifa ataondoka na mengiArudishe hela zetu kwanza ndiyo afe