majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 814
nafikiri kwa st joseph % nyingi watakuwa wahindi kwa kisingizio kuwa hamna watanzania wanaofiti hizo positionNa St Joseph pia
St.Joseph wahindi ndiyo chuo chao kile wale wahindi weusi.nafikiri kwa st joseph % nyingi watakuwa wahindi kwa kisingizio kuwa hamna watanzania wanaofiti hizo position
Hapq hata mimi hupataga ukakasi...utakuta lecturer anajisifu gpa kubwa lakini kwenye kufundisha ziro kabisa yani hana kabisa kipaji cha kuinstruct...linatia usingizi tu na wakati kuna watu wanajua hasa kutema madini lkn ndo ivo gpa imewapiga kofi.Mmmmh!Hivi ni kweli ufanisi wa mtu upo kwenye GPA?
Hicho ndio kinachoshangaza.....!!!!Mmmmh!Hivi ni kweli ufanisi wa mtu upo kwenye GPA?
... HARMONIZATION SCHEME YA WANATAALUMA WA ELIMU YA JUU imeharibu kila kitu...
!
!
GPA za kwenye vyeti si kitu kabisa. Ni vilaza tu sema kwa sababu moja au nyingine walifaulu mitihani yao. GPA si kitu, muhimu ni uelewa wa vitu. Lijitu linakariri tu linafaulu baadae na lenyewe linakuja kukaririsha watu. Na ndio maana wavumbuzi wa vitu vipya sio maprofesa.
Acha wivu wewe, mbona mnampondaga JK kwamba GPA yake ilikuwa ndogo ndio maana nchi ilimshinda? Kama unaGPA ya 2.3 usijlinganishe na mwenye 4+
Acha wivu wewe, mbona mnampondaga JK kwamba GPA yake ilikuwa ndogo ndio maana nchi ilimshinda? Kama unaGPA ya 2.3 usijlinganishe na mwenye 4+
!
!
John visomo utawatambua tu. Sasa mimi lini nimemponda JK, na kwa JK ni swala la perfomance yake na si hiyo GPA. Endelea kukariri mkuu na kusoma
!
!
Na kwa taarifa yako sasa mimi nina ka advanced diploma tu ila kwa hapa kazini kwangu hata mwenye doctorate hanifikii kwa kuandika miradi. Na wao sasa swaga zao ni zile za wewe hustahili kuwa hata mwanafunzi wangu. Ndio hao hao wenye GPA kubwa na hakuna lolote mafala tu.
Kwa ushauri wangu naona kigezo cha gpa kingebakia pale pale. Ila waongeze na kigezo cha angalu experience miaka 3. Maana imekuwa aibu kubwa. Tutor anafundisha kitu asichowahi kukiona. Wapo wengi tu nakutanana nao makazini pindi wanapokuja kutembelea vijana wao wakati wa practical na field work. Ni aibu aibu hakuna mfano. Inakuwaje mwalimu anaulizia ata simple issue.Wakati tukiwa na vyuo vikuu vichache kabisa hapa nchini kiwango cha ufaulu cha TUTORIAL ASSISTANT kilikuwa si chini ya GPA 3.8 sawa sawa kabisa na ASSISTANT LECTURER, na LECTURER. Kutokana na ukosefu wa wanataaluma baadhi ya vyuo kama SUA na MZUMBE wakawa na kiwango chao cha GPA ya 3.5 wakiungana na baadhi ya taasisi nyingine za elimu ya juu chini ya NACTE.Hili nilifikiri ni sahihi kuhakikisha kazi wanazoweza watanzania wanajengewa mazingira ya kuzifanya Sidhani kama vyuo vilivyokuwa na wahadhiri wenye GPA za 3.5 walikuwa na ufanisi kidogo katika kazi kiasi cha kuamua KUWAACHA katika soko hili la ajira na kuwapa wageni ambao hata hizo GPA zao hatujui uhalisia. HARMONIZATION SCHEME YA WANATAALUMA WA ELIMU YA JUU imeharibu kila kitu na inajenga mazingira ya TANZANIA kuwa soko la wahadhiri kutoka mataifa mengine bila kuwa na ulazima huo. Vyuo kama Nelson Mandela, UDOM, UDSM, KAMPALA UNIVERSITY wanaidadi kubwa ya wageni wanaohudumu kama visiting lecturers kwa post ambazo watanzania wangeweza kuzifanya kama huu ukiritimba utaondoka. Haiingii akilini nafikiri serikali inahitaji kuchunguza zaidi.
Hahahha kwa hiyo ww ndo genius wao wa mirad? Teh teh teh
Hiyo experience waipatie wapi sasa?Kwa ushauri wangu naona kigezo cha gpa kingebakia pale pale. Ila waongeze na kigezo cha angalu experience miaka 3. Maana imekuwa aibu kubwa. Tutor anafundisha kitu asichowahi kukiona. Wapo wengi tu nakutanana nao makazini pindi wanapokuja kutembelea vijana wao wakati wa practical na field work. Ni aibu aibu hakuna mfano. Inakuwaje mwalimu anaulizia ata simple issue.