majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Wakati tukiwa na vyuo vikuu vichache kabisa hapa nchini kiwango cha ufaulu cha TUTORIAL ASSISTANT kilikuwa si chini ya GPA 3.8 sawa sawa kabisa na ASSISTANT LECTURER, na LECTURER.
Kutokana na ukosefu wa wanataaluma baadhi ya vyuo kama SUA na MZUMBE wakawa na kiwango chao cha GPA ya 3.5 wakiungana na baadhi ya taasisi nyingine za elimu ya juu chini ya NACTE. Hili nilifikiri ni sahihi kuhakikisha kazi wanazoweza watanzania wanajengewa mazingira ya kuzifanya Sidhani kama vyuo vilivyokuwa na wahadhiri wenye GPA za 3.5 walikuwa na ufanisi kidogo katika kazi kiasi cha kuamua KUWAACHA katika soko hili la ajira na kuwapa wageni ambao hata hizo GPA zao hatujui uhalisia.
HARMONIZATION SCHEME YA WANATAALUMA WA ELIMU YA JUU imeharibu kila kitu na inajenga mazingira ya TANZANIA kuwa soko la wahadhiri kutoka mataifa mengine bila kuwa na ulazima huo. Vyuo kama Nelson Mandela, UDOM, UDSM, KAMPALA UNIVERSITY wanaidadi kubwa ya wageni wanaohudumu kama visiting lecturers kwa post ambazo watanzania wangeweza kuzifanya kama huu ukiritimba utaondoka. Haiingii akilini nafikiri serikali inahitaji kuchunguza zaidi.