Kumekuwa na kupanda Holela juu ya Bei ya hii Bidhaa ilikuwa ni Tsh 44,000/- juma lililopita lakini kwasasa imeshafika tsh 50,000/- sababu haijulikani yaani genge la wafanya biashara walanguzi linajiamulia hivihivi na Serikali SiKIVU inakaa kimya?
Hakuna regulation kwenye LPGs. Hii inaweza kukupa picha kwamba pamoja na matatizo waliyonayo EWURA wana umuhimu fulani. Nimesikia huko Zanzibar wameanza kutoa bei elekezi za bidhaa muhimu kama sukari n.k. I think that is the way to go.
Huwezi kuwaacha wafanyabiashara wapate faida asilimia mia tano huku mlaji akiendelea kuumia!
Biashara kubwa ni za vigogo hivyo hawaiongopi serikali isipokuwa serikali ndiyo inawaongopa wafanyabiashara hivyo hawana hofu wanapo pandisha bei watakavyo maana hata wakubwa wenye maamzi wanafaidika kwa njia moja au nyingine....
yaani mie juzi nimechukia wakati najua orxy walisema bei ya gas kale
kamtungu ka kilo sita ni 19500 nikajikoki kwenda naambiwa 22000 karibu nitoe machoz walahi
wanaudhi sana serekali iangalie manake twaumia buree