Nani anapenda kupanda mlima kilimanjaro august hii?

Nani anapenda kupanda mlima kilimanjaro august hii?

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau JF,

Miezi michache ilipita nilipost hapa kutangaza watu wanaopenda kupanda mlima Kilimanjaro, kwa bahati nzuri nilipata watu wachache sana ambao walipanda mlima huo na wote walifanikiwa kufika kileleni.

Hivyo basi katikati ya mwezi huu wa NANE TUNA TRIP NYINGINE YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUPITIA NJIA YA UMBWE KWA SIKU SITA.

HIVYO KWA ANAYEPENDA KUJIUNGA NAO NI SHS LAKI NA NUSU ikijumlisha gharama za viingilio,chakula,usafiri wa kwenda na kurudi getini,pia kumbuka gharama ya kukodi vifaa vya kupandia mlima ni ELFU HAMSINI.
JUMLA NI LAKI MBILI.

Jisikie huru kuesma una kiasi gani kama ni pungufu lengo ni kukuza utalii wa ndani na kuwezesha kila mtu kufikia lengo lake la kupanda mlima huo mrefu.

ANGALIZO: NI LAZIMA UWE NA AFYA NJEMA NA UWE NA MAZOEZI YA MWILI.ZIMEBAKI NAFASI TATU TU.

Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net
 
Back
Top Bottom