Nani anapaswa kushukuru kwa kutoa asante

Nani anapaswa kushukuru kwa kutoa asante

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
yeah imekuwa haieleweki kwa wengi kuwa asante imo ama haimo baada ya kushereheshana .mara nyigi huwa ni kimyakimya watu hunyamaaaa kimya stori kukata ama mdada atatoa asante nayo sijui inajibiwaje katika Kiswahili sahihi.Vitabu vyote nilivosoma sijasoma mkaka katoa asente
 
asante tena!!? unashukuru kwa dhambi mlizopeana.... dude plizzzzz
 
tafiti imetimia inaonekana hapa Tanzania ninayeshukuru kwa asante nipo pekeyangu. Kumbe mafunzo niliyopewa na viongozi yalikuwa feki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom