Uchaguzi 2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

Nyerere/kristo alibana
Mwinyi/muslim aliachia
Mkapa/kristo alibana, then aliachia kiasi chake
Kikwete/muslim aliachia
Magu/kristo amebana.

Hapo ndio utajuwa wakina nani wana imani zaidi. Ni hayo tu mkuu.
Nawapongeza kwa kubana
Hyo ndio Safi
Sio unaachia tu wachache wenye nguvu wale mema ya nchi
Mafisadi Wala rushwa wezii no
Hao walioachia siamini Kama Imani yao inaruhusu haya
 
2015: Tunataka Rais mchapakazi na mkali hata akiwa mwizi poa tuuu.


2020: Tunataka Rais ambaye sio mwizi hata akiwa sio mchapakazi poa tuu.

2025: Tunataka katiba ambayo itaondoa cheo cha Rais.
Haya mawazo ya choo cha kike.
 
Swali hili jibu lake simple tu...HAKUNA
 
LISU nimkweli na anahuruma nawatu hanatamaa anaichukia dhuluma
 
Tundu A Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…