Nani anaongoza nchi?

Kwani mkuu we unataka maamuzi yanayokufurahisha tu ndo ujue rais yuko serious au la!
 
Reactions: Ame
Unaiga au kweli ww ni vuvuzela?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Salam wanajukwaa!

Sisi wengine tuko vijijini, hivyo, tunaishia kusikia sikia tu kutoka kwenu 'maborn town'.

Tunasikia kuwa eti wao ndio waliomtoa shujaa na kumuweka Masiah wa Fey toto.

Kwamba wao ndio wanateua kuanzia Cabinet members hadi maCEO.

Kwamba wao ndio wako nyuma ya mikataba yote mikubwa.

Kwa ufupi wao ndio huassamble parts zote za chapa hii ya TV, na hata zipatapo hitilafu, ni kiwanda cha pale pale msoga ndio huweka spare parts zingine. Inadaiwa remote wao ndio hubaki nayo, na hupendelea TV ikae Dar kwani ni karibu zaidi kwa remote kufanya kazi na haihitaji dish bali Antena tu kuliko Dodoma.

Shida haya yamekaa kizushi tu. Ushahidi uko wapi? Msoga wanasemwa lakini ushahidi sifuri! Hebu nyie 'maborn town' mtusaidie sisi 'mabush star' ili tupate elewa ukweli wa haya maneno..
 
Ikimsikiliza vizuri huyu mwamba utaelewa kuwa yote usamayo yeye ameyasema kabla yako👇🏾
Your browser is not able to display this video.
 
Umbea utaku cost mkuu.
Mzee Corleone alinikosha sana pale alipomuita mwanaye na kumuambia[kwa sauti ya karipio];
"tatizo lako nini? Kukaa sana huyo mwanamke kumekufanya akili yako iwe laini?". Bado hii ni moja ya Novel ya kibabe ukiacha Kane and Abel. Username yako imenikosa.

Sasa mkuu umbea wangu uko wapi? Kutaka uthibitisho ni umbea?
 
Kanye ukalale Mzee Giza lishaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…