Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,028
- 127,556
Hakuna kitu kama hicho 😁😁 mtakutana wote wapya mtakulana atakayeachwa na alama ya kuliwa ni wewe😅😅 dada sio hivyo ni kulana bana
Hakuna kitu kama hicho 😁😁 mtakutana wote wapya mtakulana atakayeachwa na alama ya kuliwa ni wewe😅😅 dada sio hivyo ni kulana bana
Ipo hata kwenye kamusikulomba na kulombwa ni lugha rasmi au si rasmi?
Una haribu sasa dah 😅😅Hakuna kitu kama hicho 😁😁 mtakutana wote wapya mtakulana atakayeachwa na alama ya kuliwa ni wewe
Ni mchungu ila ndio ukweli 😁Una haribu sasa dah 😅😅
Punguza ukweli mchana kweupe 😅😅Ni mchungu ila ndio ukweli 😁
Sawa 😁Punguza ukweli mchana kweupe 😅😅
Haya dear japo sijakuona humu mudaSawa 😁
Nilienda kijijini kwa hivyo nilikuwa napambana na kazi za shambaHaya dear japo sijakuona humu muda
Dr. Kaniambia nimeshapona🤣Mwendawazimu wewe nilidhani umepona🤣🤣🤣
Ooh safiii (chai)Nilienda kijijini kwa hivyo nilikuwa napambana na kazi za shamba
Badili hospital 🤣Dr. Kaniambia nimeshapona🤣
Kwamba nimedanganya? Binti .. unadhani mimi ndio ninyi wa kishua 🤣🤣🤣Ooh safiii (chai)
Mirembe ndio wameniambia nimeponaBadili hospital 🤣
WamekudanganyaMirembe ndio wameniambia nimepona
Kama mimi wa kishua basi kila mtu atakua wa kishuaKwamba nimedanganya? Binti .. unadhani mimi ndio ninyi wa kishua 🤣🤣🤣
Nimeona huamini habari za shambani. Ndio ninyi mnaamini viazi vinachumwa kwenye mitiKama mimi wa kishua basi kila mtu atakua wa kishua
Nimecheka kwa sautiNimeona huamini habari za shambani. Ndio ninyi mnaamini viazi vinachumwa kwenye miti
Nina mashaka na weweNimecheka kwa sauti
Mie mtoto wa kijijini mahi mjini wakuja
Ondoa shaka dada angu 🤗Nina mashaka na wewe