Nani anamjua Emanuel Akaro Sinare?

kindili kindili

JF-Expert Member
May 27, 2013
244
225
Je kwa namna yoyote ile unamjua mtajwa hapo juu ..kapata umaarufu sana siku mbili zilizpota, wana jamvi anaye mjua atujuze kidogo ni mtu wa aina ipi..ukim google anaonekana ila kidgo...
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,760
2,000
Je kwa namna yoyote ile unamjua mtajwa hapo juu ..kapata umaarufu sana siku mbili zilizpota, wana jamvi anaye mjua atujuze kidogo ni mtu wa aina ipi..ukim google anaonekana ila kidgo...

acha masihara mkuu,.

Umaarufu wa siku mbili tu ndiyo kila mtu amjue??
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,704
2,000
Mambo ya udaku.special ndio unaleta kwa Great thinker? Mambo ya kina Shose Sinare waachieni kina Jesca.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,704
2,000
Je kwa namna yoyote ile unamjua mtajwa hapo juu ..kapata umaarufu sana siku mbili zilizpota, wana jamvi anaye mjua atujuze kidogo ni mtu wa aina ipi..ukim google anaonekana ila kidgo...

Mie namjua huyu hapa
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,704
2,000
wewe unamjua mkuu ....baelezeeee basi

Sina nayemjua kati ya hao ila habari ni za kitambo sana hizi nashangaa zimerudi tena kwa mara nyingine......
Kwa kifupi Huyo Boya Unayetaka kumfahamu alimuoa Huyo dada ambaye yupo naye kwenye picha anaitwa jesca ilikuwa 2010 wamezaa mtoto m1 ila hawajadumu sana kwenye ndoa wakatengana sasa huyo jesca(mtoto wa wajina wangu mzee King Kikii) anamlahumu ex-hubby wake anasambaza picha zake za utupu mtandaoni...Huyo Boya ni ndugu wa Miss Tanzania wa kitambo 90's Shose Sinare na mtoto wa Prof. Akaro
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom