Nani analipa gharama ya hizi ndege za kijeshi zinazozunguka angani kila siku?

mkumbuke hayo ni mazoez ivyo marubani sio walewale.... wakifanya mazoez kwa awamu sio tatizo.

ni moja ya maendeleo...
 
Zikiwa ndani tu zitaoza hizo, wacha wazichangamshe kidogo maana zinafanya kazi tarehe 26 April na 9 December.
 
watuwengine wamezaliwa special kwa kulalamika na majungu, wangerusha marekan au kerea ungefagilia sana, haujui kuwa muungano n jambo kubwa sana, wengi wanataman kuungana ila hawawez.
 
Hivi unafikiri kulinda nchi na mipaka ni lelemama? Shukuru una lala na kuamka salama lakini ujue kuna watoto wa wenzie usiku na mchana hawalali kuhakikisha mipaka na wewe mko salama!

Swala la kurusha ndege linaweza kuwa mazoezi au sehemu ya ulinzi...wenzetu kwenye swala la ulinzi hawaweki siasa wala porojo maana si sehemu ya kuchezea na siku zote kuna kuwa bajeti ya kupitiliza maana hiyo ndiyo kama mboni yetu...taifa imara linakuwa na jeshi imara...
 
Sherehe hizi huwa hazili pesa nyingi kama mnavyodhania kias cha kulididimiza Taifa kiuchumi.

Umasikini unakuja kwenye Ufisadi na Mikataba Mibovu tu.

Waacheni #wajeda nao wapate night/per diem!
 
Huyu mleta uzi inaonekana sio mtz kulingana jina lake ,ila aelewa hiyo sehemu ya sherehe ,pia urudi kwenu ukaendeleze ubaguzi tunaoshuhudia SA
Mimi kwetu Matombo na nimerejea hivi karibuni kutoka katika ziara ya kutembelea kambi ya wakimbizi ya Kakuma kule Kenya ila Matombo ndio kwetu
 
Ni ileile inayotumika kurusha chopa., kukodi wasanii, kuwalipa wapambe wakati wa kampeni za uchaguzi. Hili utaliona hata kwa akili kiduchu tu
 
wabongo watu wa ajabu sn! Hivi we jamaa wakati unapost ulikuwa sehemu gani? Unajua umeandika maelezo mengi halafu hakuna point ya maana! Eti ndege zitulie pesa zifanye mambo ya msingi, hizo ndege zimetulia muda gani? Na hebu niambie zilipokuwa haziruki lipi la maana lililofanyika?

Kufikiri kwa kutumia nguvu mwisho wa siku unajikuta unafikiri pumba km huyo muanzisha uzi. Yaani suala la ulinzi unaliona dogo sn! Angalia nchi za wenzetu wanapofanya mazoezi ya kijeshi, nahisi ungesema tuandamane kupinga hayo mazoezi yanatumia pesa nyingi. Uliwaona NATO, vipi kuhusu RUSSIA, na KOREA je? Wewe ndege tatu tu mishipa imekusimama!

Iambie serikali iuze vifaru inunue marungu ili tubane matumizi! Unasema wanatumia pesa hovyo, sasa ulitaka waruke na ungo? Hovyo!
 
Kwa kwel nimependa maelezo ulio toa kuhusu vipaumbele


lakini chonde chonde hio title nadhan sitachangia kitu
mambo ya jesh tena
 
Back
Top Bottom