jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,401
- 4,965
Kashfa kubwa imetokea pale Afrika ya Kati ambako askari wa UN wamebaka mtoto wa miaka 12. Cha ajabu UN na international media wala haitaji askari hawa wasio na utu kama manyani wametokea nchi gani.
Badala yake UN inatangaza kijikashfa kingine kuwa askari wa DRC hawakidhi viwango hivyo wanarudishwa kwao. Hivi kashfa ya kubaka na kutofikisha viwango vya UN kipi ni kikubwa.
Kwa nini nchi ambayo askari wake wamebaka inalindwa kutajwa lakini DRC inatajwa tu? Kuna nini hapa? Is this fair to DRC? Maana inaonekana kabisa kuwa wanataka kufunika kashfa ya hii nchi yenye askari wasiofaa kwa kuanzisha mjadala mwingine wa askari wa DRC katika namna ambayo mtu asiye na akili anaweza kudhani kuwa hawa DRC troops ndio waliobaka.
What is so special about that country where the rapist troops are from that it should not be named?
cc: MK254 vyuma mchambawima1

Last edited by a moderator: