Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Bakari ni house boy.mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.
Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu.alihisi tu Bakari anahusika.
ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine,
kwa kuwa mkewe alikua anamtetea Bakari,Ili kumthibitishia mkewe kuwa bakari ndo culprit, boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali,siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikua sebuleni.
Boss:Bakariiii!
Bakari:Naam baba!
Boss:nani anakunywa wine yangu?
Bakari kimyaaaa hajibu kitu!
Boss:Bakariiiii!
Bakari:naam baba!
Boss:nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!
Bakari kimyaaaaa!
Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni.'kwanini nikikuita unaitikia,nikikuuliza unanyamaza?
Bakari:baba huku jikoni ndo kulivyo,unasikia jina tu likiitwa lakini maneno mengine husikii,na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni.
Bakari akaenda sebuleni.
Bakari:Babaa!
Boss:naam bakari!
Bakari:Saa sita usiku,hua unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
Boss kimyaaaa!
Bakari:Baba babaa!
Boss:ndio bakari!
Bakari:Nauliza hivii,chumbani kwa house girl saa sita za usiku hua wafuata nini?
Boss kimyaaaaaaa!
Boss akatoka nje,'Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu dah!'
Bakari🙁kimoyo
moyo)maaninaa!unanijua unanisikia!
KILICHOFUATA HAPO UTAMALIZIA MWENYEWE.